Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 11Article 585022

Habari za Mikoani of Tuesday, 11 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#AjaliSimiyu: Vilio vyatawala chumba cha kuhifadhia maiti Mwanza- VIDEO

Vilio vyatawala chumba cha kuhifadhia maiti mwanza Vilio vyatawala chumba cha kuhifadhia maiti mwanza

Baadhi ya ndugu na waombolezaji wakiwa wamefurika katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure kwa ajili ya kupokea miili ya waandishi wa habari wanne wa mkoa wa Mwanza waliofariki katika ajali wilayani Busega mkoani Simiyu.

Akitaja majina ya waandishi waliofariki katika ajali hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amesema ni Johari Shani (Uhuru Media), Antony Chuwa (Habari leo Digital), Husna Mlanzi (ITV), Abel Ngapemba (Afisa Habari Ofisi ya RC Mwanza) na Steven Msengi (Afisa Habari Ofisi ya DC Ukerewe)