Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 23Article 573631

Habari Kuu of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Akiba ya fedha za Tanzania imefikia Tsh. Trilioni 6.7

Akiba ya fedha za Tanzania imefikia Tsh. Trilioni 6.7 Akiba ya fedha za Tanzania imefikia Tsh. Trilioni 6.7

Thamani ya Sarafu ya Tanzania imezidi kuimarika kulinganisha na mwaka uliopita. Serikali ya Tanzania imesema kuwa mpaka sasa imefanikiwa kuimarisha mzunguko wa pesa na kufanya akiba ya pesa kwenye hazina ya taifa kuendelea kupanda.

Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania, hazina ya taifa ina akiba ya TSh trilioni 6.07 mpaka kufikia Oktoba 2021 kutoka Sh trilioni 5.48 Oktoba 2020, ikiwa ni ongezeko la Sh bilioni 590 kwa mwaka mmoja.