Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 23Article 543943

Habari za Mikoani of Wednesday, 23 June 2021

Chanzo: ippmedia.com

Asimamishwa kazi kwa kusababisha kifo cha mjamzito

Asimamishwa kazi kwa kusababisha kifo cha mjamzito Asimamishwa kazi kwa kusababisha kifo cha mjamzito

Kafulila amesema imeelezwa kuwa Mganga huyo alishindwa kutimiza wajibu wake wa kufika zahanati hapo kumpatia huduma ya kujifungua  mama huyo Christina Jilala na kupelekea mama huyo kupoteza damu nyingi hadi kufariki.

Aidha, ameagiza pia uchunguzi wa haraka ufanyike ili kubaini tuhuma hiyo kama ni ya kweli ili taratibu za kiutumishi zichukuliwe.