Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 10Article 542110

xxxxxxxxxxx of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: millardayo.com

BAJETI: Punguzo la kodi kwenye bia

“Napendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia zinazotengenezwa kwa kutumia shayiri iliyozalishwa hapa nchini kutoka Sh765 kwa lita za sasa hadi Sh620 kwa lita, lengo la mapendekezo haya ni kuchochea kilimo cha shayiri hapa nchini,” amesema Waziri wa Fedha, Dk Mwigilu Nchemba.

Join our Newsletter