Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 10Article 542113

Habari Kuu of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: millardayo.com

BAJETI: Serikali kusamehe kodi smartphones

BAJETI: Serikali kusamehe kodi smartphones BAJETI: Serikali kusamehe kodi smartphones

“Sekta ya Mawasiliano imekuwa ikikua vizuri na kuwa kiungo muhimu cha kuongeza wigo wa wananchi ambao wako kwenye ulimwengu wa kidijitali na kwenye sekta ya fedha. Napendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye simu janja za mkononi HS Code 8517.12.00, vishikwambi (Tablets) HS Code 8471.30.00 au 8517.12.00 na modemu (modems) HS Code 8517.62.00 au 8517.69.00″ Mwigulu Nchemba

“Lengo la hatua hii ni kuhamasisha matumizi ya huduma za mawasiliano ili kufikia lengo la asilimia 80 ya watumiaji wa intaneti ifikapo mwaka 2025 kutoka asilimia 46 iliyopo sasa,” Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba.

Join our Newsletter