Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 21Article 552895

Siasa of Saturday, 21 August 2021

Chanzo: Bunge/TanzaniaWeb

BREAKING: Askofu Gwajima na Jerry Slaa waitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge

Bungeni Dodoma Bungeni Dodoma

Spika wa Bunge, Job Ndugai (Mb) ameagiza Wabunge Josephat Mathias Gwajima na Jerry William Silaa kufika na kuhojiwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Taarifa ya Bunge imefafanua zaidi.