Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 25Article 553633

Habari Kuu of Wednesday, 25 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

BREAKING: Jeshi la Polisi limemuua mtu aliyekua akifyatua risasi maeneo ya Ubalozi wa Ufaransa

BREAKING: Jeshi la Polisi limemuua mtu aliyekua akifyatua risasi maeneo ya Ubalozi wa Ufaransa play videoBREAKING: Jeshi la Polisi limemuua mtu aliyekua akifyatua risasi maeneo ya Ubalozi wa Ufaransa

Leo August 25, 2021 Jeshi la Polisi nchini Tanzania wamefanikiwa kumdhibiti Mtu mmoja ambae alikua anafyatua hovyo risasi hewani karibu na Ubalozi ws Ufaransa Jijini Dar es salaam.