Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 28Article 544582

Uhalifu & Adhabu of Monday, 28 June 2021

Chanzo: millardayo.com

BREAKING: Mdude Nyagali aachiwa huru

BREAKING: Mdude Nyagali aachiwa huru BREAKING: Mdude Nyagali aachiwa huru

Leo June 28, 2021 Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali. Nyagali alikuwa akituhumiwa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin, gramu 23.4 baada ya upande wa utetezi kushindwa kutoa ushahidi.

Juni 14, 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya iliahirisha kutoa hukumu dhidi ya kesi yake kwa kile kilichoelezwa kuwa hukumu bado haijakamilika pamoja na mambo mengine ambayo yalikuwa nje ya uwezo wa Hakimu.