Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 09Article 584386

Habari za Mikoani of Sunday, 9 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Bibi anayefagia kwaTsh. 200 aomba msaada-VIDEO

Bibi anayefagia ka Tsh. 200 aomba msaada Bibi anayefagia ka Tsh. 200 aomba msaada

"Mimi huwa naamka mapema saa11 au saa12 nakuja eneo hili kwa ajili ya kufanya usafi yaani kufagia. Nalipwa na hawa vijana walioko hapa. Kwa siku wananipa shilingi 200 au 300 naondoka.

Nyumbani niko na wajukuu wawili. Mimi sikuzaa ila ni wajukuu wa dada yangu ndio naishi nao" Ni maneno ya Bibi Mwajuma Ntemile mkazi wa Nangurukuru ambaye aliyazungumza na Team 360 hivi karibuni. Amepata fursa ya kuzungumza na Paul James @pjsweya na kuomba msaada kwa wasamalia wema waweze kumsaidia.