Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 22Article 553000

Habari Kuu of Sunday, 22 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Bila Tsh. 2000 au zaidi haupati unit za umeme

Bila Tsh. 2000 au zaidi haupati unit za umeme Bila Tsh. 2000 au zaidi haupati unit za umeme

Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutangaza namna ya kukusanya kodi ya majengo kwa kutumia mfumo mpya wa ukusanyaji kupitia ununuzi wa umeme ambapo tayari utekelezwaji umeanza rasmi August 20,2021 .

Sasa Shirika la Umeme Tanesco kupitia ukurasa wao wa twitter limetoa tamko kwa Wananchi na kuwataka wanunue Umeme wa zaidi ya Shilingi Elfu 2000/= ili waweze kulipa kodi ya Majengo ya Mwezi Julai (1000=) na Agosti (1000/=).

Ayo TV imekuandalia taarifa kamili hapa unaweza ukabonyeza play kufahamu taarifa hiyo iliyotolewa na Tanesco