Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 29Article 544759

Habari Kuu of Tuesday, 29 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Breaking:ENG. Mfugale afariki dunia, ijue historia fupi ya maisha yake

Breaking:ENG. Mfugale afariki dunia, ijue historia fupi ya maisha yake Breaking:ENG. Mfugale afariki dunia, ijue historia fupi ya maisha yake

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfulage amefariki Dunia leo Jijini Dodoma, taarifa za awali zinasema Mfugale ameugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi.