Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 20Article 552622

Uhalifu & Adhabu of Friday, 20 August 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Mwakabibi Afikishwa Mahamani

Breaking: Mwakabibi Afikishwa Mahamani Breaking: Mwakabibi Afikishwa Mahamani

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 imemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka.

Hatua hiyo imekuja kufuatia agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kutembelea miradi mbalimbali iliyopo katika Manispaa ya Temeke na kubaini kuwepo ubadhilifu wa fedha wakati wa utekelezaji wa miradi hiyooo.