Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 15Article 585961

Habari Kuu of Saturday, 15 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Breaking News: NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne

Breaking News: NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne Breaking News: NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021. NECTA pia imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, mtihani wa maarifa, kidato cha pili na darasa la nne.

Matokeo tazame hapa;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021 ==> https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/csee.htm

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021 ==> https://matokeo.necta.go.tz/results2021/qt.htm

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021 ==> https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftna/ftna.htm

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2021 ==> https://matokeo.necta.go.tz/results2021/sfna/sfna.htm