Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 11Article 542149

xxxxxxxxxxx of Friday, 11 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Rais Samia Amtumbua RC Chalamila, Afanya Uteuzi Mwingine

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 11, 2021 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na kuteua wengine ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Luhumbi anahamia Mkoa wa Mwanza na Albert Chalamla uteuzi wake umetenguliwa. ⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫ iOS:https://apple.co/38HjiCxJoin our Newsletter