Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 12Article 557020

Habari Kuu of Sunday, 12 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Rais Samia Ateua Mawaziri Wapya Wanne

Breaking: Rais Samia Ateua Mawaziri Wapya Wanne Breaking: Rais Samia Ateua Mawaziri Wapya Wanne

UTEUZI Prof. Makame Mbarawa ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi akichukua nafasi ya Mhandishi Dkt. Leonard Chamuriho ambaye uteuzi wake umetenguliwa.