Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 04Article 541081

Uhalifu & Adhabu ya

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi June 4, 2021 by Global PublishersAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa mashtaka sita, ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na unyang’anyi wa kutumia silaha (ujambazi), hivyo amekosa dhamana mpaka Juni 18, kesi yake itakapotajwa tena.

Join our Newsletter