Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 04Article 541096

xxxxxxxxxxx of Friday, 4 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Chanjo ya Covid-19 Yaruhusiwa Kuingizwa Nchini

Chanjo ya Covid-19 Yaruhusiwa Kuingizwa Nchini June 4, 2021 by Global PublishersRais Samia Suluhu Hassan amesema leo Juni 4, 2021, balozi na taasisi za kimataifa zimeruhusiwa kuleta chanjo za #COVID19 nchini kwa ajili ya kuwachanja wananchi kuendana na taratibu za nchi zao au taasisi hizo pamoja na kuondoa kadhaa wanazopata katika utendaji wa kazi zao kutokana na kutochanjwa.


Join our Newsletter