Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 23Article 553138

Habari za Mikoani of Monday, 23 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Chanzo cha ajali Wafanyakazi TRA ni kufukuza iliyodhaniwa kubeba magendo

Chanzo cha ajali Wafanyakazi TRA ni kufukuza iliyodhaniwa kubeba magendo Chanzo cha ajali Wafanyakazi TRA ni kufukuza iliyodhaniwa kubeba magendo

Wafanyakazi watano wa TRA wamefariki dunia kwa ajali ya gari mkoani Songwe alfajiri ya leo baada ya gari lao kuligonga Lori kwa nyuma.Inaelezwa chanzo cha Ajali hiyo ni mwendokasi wa gari wakati wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba Magendo.