Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 27Article 540163

Habari Kuu of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: millardayo.com

Chato Airport, Serikali itakubali? wananchi waanike mazao (+video)

Chato Airport, Serikali itakubali? wananchi waanike mazao (+video) play videoChato Airport, Serikali itakubali? wananchi waanike mazao (+video)

“Maneno mengine ni ya kutengeneza, nimeongea na Mkurugenzi wa ATCL route ya Geita bado ipo, uwanja ni wa Mkoa, kupanga ndege kwenda mahali tunaangali wingi wa abairia, uwanja unatumika ila kuna maboresho yanaendelea, hayo maneno kusema Wananchi waombe waanike mazao ni kitu ambacho hakikubaliki, ule uwanja ni wa Serikali unafanyiwa kazi kadri wateja watakavyoongezeka ndivyo route zitaongezeka” Naibu Waziri Uchukuzi Mwita Waitara akimjibu Ripota wa AyoTV

Join our Newsletter