Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 26Article 540019

Siasa ya

Chanzo: ippmedia.com

Chikota ataka mfuko wa kuendeleza korosho urejeshwe

Chikota ataka mfuko wa kuendeleza korosho urejeshwe Chikota ataka mfuko wa kuendeleza korosho urejeshwe

Akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo ya Mwaka 2021/22, bungeni leo, Chikota amesema kilichopo sasa hivi kwenye sekta ya korosho ni kizungumkuti.

”Hii ni kwa sababu bodi haijaundwa kwa miaka mitatu sasa lakini hata mtendaji aliyepo ni kaimu na ile bodi ni lidudu lizito kwahiyo lazima tupate mtendaji ambaye yupo imara na muda wote atakuwa anashughulikia korosho na pengine hata mzigo uliopo wizarani utapungua kwa sababu mambo mengine watafanya kwenye ngazi ya level bodi ya korosho.,”amesema.

Amefafanua kuwa mfuko ule ulikuwa na muhimu sana kwa sababu ulitoa fedha kwa ajili ya utafiti, wagani katika halmashauri yetu, usimamizi wa halmshauri na uligharamia ubanguaji mpaka usambazaji wa miche iliyosambazwa nchini.

Join our Newsletter