Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 10Article 556720

Habari Kuu of Friday, 10 September 2021

Chanzo: www.habarileo.co.tz

DED anayetuhumiwa wizi wa bati asimamishwa

DED anayetuhumiwa wizi wa bati asimamishwa DED anayetuhumiwa wizi wa bati asimamishwa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale, ili kwenda kujibu tuhuma zinazomkabili katika Halmashauri ya wilaya ya Kilosa za wizi wa mabati 1,172.