Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 13Article 563050

Habari Kuu of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Dk. Gwajima awasili Urusi

Dk.Gwajima awasili Urusi Dk.Gwajima awasili Urusi

Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa heshima mtarajiwa wa Tanzania nchini Urusi Bw. Valery .V. Gavrilyuk.

Aidha katika mazungumzo hayo Waziri Dkt. Gwajima aliambatana na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Urusi Dkt.Switbert Mkama.

Dkt.Gwajima yupo nchini Urusi kwa ajili ya kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassani Kwenye kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake.