Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 12Article 562828

Habari Kuu of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Dkt. Mpango apanda treni kukagua miradi Morogoro

Dkt. Mpango kukagua mradi  wa bwawa Morogoro, asafiri kwa treni Dkt. Mpango kukagua mradi wa bwawa Morogoro, asafiri kwa treni

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango Oktoba 12, 2021 ameondoka Dar es Salaam kwa treni ya TAZARA kwenda Mkoani Morogoro ambako anatembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Julius Nyerere katika Mto Rufiji akiongozana na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango.