Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 14Article 542524

Habari Kuu of Monday, 14 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Dkt. Ndugulile Ajionea Huduma Ya Elimu Kwa Njia Ya Mtandao

Dkt. Ndugulile Ajionea Huduma Ya Elimu Kwa Njia Ya Mtandao Dkt. Ndugulile Ajionea Huduma Ya Elimu Kwa Njia Ya Mtandao

Dkt. Ndugulile Ajionea Huduma Ya Elimu Kwa Njia Ya Mtandao June 13, 2021 by Denis MtimaMhitimu wa msimu wa sita kutoka mradi wa Ndoto Hub unaolenga kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali (aliyekaa),Hajra Mahmood akimwelezea Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile namna ambavyo mradi wake unafanya kazi.Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile akiandika ujumbe kwenye ubao wa shirika la Shule Direct baadaya kutembelea shirika hilo, Dar es Salaam.Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile(kulia) akiangalia namna ya huduma ya elimu kwa njia ya mtandao kutoka shirika la Shule Direct inavyofanya kazi, pembeni yake ni Berthasia Richard.Mwanzilishi wa shirika la Soko Arrow ambaye ni mhitimu wa mradi wa kuwajengea uwezo wananchi katika masuala ya huduma za msimu wa nne, Margreth Massawe akimwelezea Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile namna ya huduma hiyo inavyofanya kazi.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amejionea huduma ya elimu kwa njia ya mtandao inayotolewa kutoka katika shirika la Shule Direct inayolenga kuwajengea uwezo wananchi katika masuala mbalimbali.