Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 30Article 554464

Habari Kuu of Monday, 30 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Familia ya Hamza yatoa kauli baada ya mazishi "Mungu amlipe, kama kuna deni'

Familia ya Hamza yatoa kauli baada ya mazishi play videoFamilia ya Hamza yatoa kauli baada ya mazishi "Mungu amlipe, kama kuna deni'

Ni Jana Agosti 29, 2021  ambapo Hamza aliefariki katika majibizano ya Risasi amezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Hapa nimekusogezea baadhi ya video ushuhudie kilichojiri katika Mazishi hayo yaliyofanyika usiku.