Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 04Article 561334

Habari Kuu of Monday, 4 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Gumzo! Mitandao ya Instagram, Facebook, WhatsApp yatoweka hewani, tamko hili hapa

Gumzo!Mitandao ya Instagram, Facebook, WhatsApp yatoweka hewani, tamko hili hapa play videoGumzo!Mitandao ya Instagram, Facebook, WhatsApp yatoweka hewani, tamko hili hapa

Kampuni ya Facebook imethibitisha kwamba Mitandao yake ya Facebook,Instagram na WhatsApp imepata tatizo na kufanya baadhi ya watumiaji kushindwa kufanya chochote kwenye akaunti zao, kwenye taarifa yao wameomba radhi na wamesema wako kazini kulitatua tatizo.