Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 23Article 553189

Siasa of Monday, 23 August 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Gwajima Ashusha Maombi Mazito Kabla ya Kuhojiwa - Video

Gwajima Ashusha Maombi Mazito Kabla ya Kuhojiwa play videoGwajima Ashusha Maombi Mazito Kabla ya Kuhojiwa

Mbunge wa Kawe, Mhe.Josephat Gwajima akiwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.