Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 24Article 544036

Uhalifu & Adhabu of Thursday, 24 June 2021

Chanzo: millardayo.com

"Hata bangi ikiruhusiwa sio kila Mwananchi ataruhusiwa" Kusaya (+video)

Kilimo cha Bangi play videoKilimo cha Bangi

Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Juni 26 ya kila mwaka imesema serikali haina mpango wa kuruhusu kilimo cha bangi na kama ikiruhusu ni Taasisi za Utafiti zitaruhusiwa.

Akizungumza na waaandishi wa habari Gerald Musabila Kusaya Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya amesema mpaka sasa Serikali haina mpango wowote wa kuruhusu kilimo hicho .