Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 22Article 573406

Habari Kuu of Monday, 22 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Hata tusipopata tone la maji tutazalisha umeme - TANESCO

TANESCO  yatamba kuzalisha umeme bila tone la maji TANESCO yatamba kuzalisha umeme bila tone la maji

Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO limesema kuwa kina cha bwawa la Mtera linalozalisha umeme nchini, kuwa linauwezo wa kuzalisha umeme kwa kiwango cha juu cha megawati 80 kwa muda wa miezi 7 ijayo pasipo kutegemea mvua.

Haya yamewekwa bayana na Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo mapema Novemba 22, 2021.