Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 24Article 553273

Habari za Mikoani of Tuesday, 24 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Hivi ndivyo Bilionea Manga alivyozikwa jijini Arusha (Video+)

Tazama maelfu wajitokeza kumzika Bilionea Manga mkoani Arusha (Video+) play videoTazama maelfu wajitokeza kumzika Bilionea Manga mkoani Arusha (Video+)

NI Agosti 23, 2021 ambapo Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kwenye Mazishi ya aliyekuwa Bilionea wa Madini, Mathias Manga ambaye amezikwa katika kijiji cha Manyire Wilayani Arumeru mkoani Arusha.