Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 23Article 553267

Uhalifu & Adhabu of Monday, 23 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Hoja za Mawakili wa Sabaya zatupwa, Shahidi asema majina yake yamekosewa

Hoja za Mawakili wa Sabaya zatupwa, Shahidi asema majina yake yamekosewa Hoja za Mawakili wa Sabaya zatupwa, Shahidi asema majina yake yamekosewa

Mahakama ya Hakimu Mkazi  Mkoani Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa utetezi wanaomuwakilisha mshtakiwa wa pili Sylivester Nyegu katika kesi ya Unyang’anyi wa kutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.Huku Shahidi wa nne wa upande wa utetezi akisema mashtaka yaliyopo ni ya uongo na yametengenezwa na majina yaliyopo kwenye mashtaka sio ya kwake