Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 21Article 558715

Habari za Mikoani of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Hoteli yawaka moto Makumbusho DSM, taharuki yaibuka "Ghorofa sita" (video+)

Hoteli yawaka moto Makumbusho DSM, taharuki yaibuka play videoHoteli yawaka moto Makumbusho DSM, taharuki yaibuka

Ni Usiku wa kuamkia Septemba 21, 2021 ambapo sehemu ya Safina Hotel iliyopo Makumbusho Dar es salaam iliwaka moto huku Wananchi walipambana kuuzima moto huo ambao kadri muda ulivyozidi kusogea unaongezeka, msaada wa fire ukahitajika.