Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 23Article 559372

Siasa of Thursday, 23 September 2021

Chanzo: eatv.tv

Jeshi la Polisi kuwa karibu na viongozi wa vyama

Jeshi la Polisi kuwa karibu na viongozi wa vyama Jeshi la Polisi kuwa karibu na viongozi wa vyama

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema ipo sababu ya Jeshi hilo kuwa na ukaribu na viongozi wa vyama vya siasa sababu viongozi hao ni wadau muhimu katika masuala ya usalama na kusisitiza kuwa kwenye mikutano ya kisiasa ya ndani na ya nje wao wanachokizingatia ni

IGP Sirro ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 23, 2021, jijini Dodoma, wakati walipokutana na kufanya mazungumzo na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Fransic Mutungi, kuhusu suala la mikutano ya ndani na nje ya vyama vya siasa.