Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 25Article 553543

Habari Kuu of Wednesday, 25 August 2021

Chanzo: millardayo.com

KESI YA TOZO: Serikali yaweka pingamizi, hatma ni September 8 (+video)

KESI YA TOZO: Serikali yaweka pingamizi, hatma ni September 8 (+video) play videoKESI YA TOZO: Serikali yaweka pingamizi, hatma ni September 8 (+video)

Mahakama Kuu nchini Tanzania inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya kibali cha kufungua maombi ya shauri la mapitio kuhusiana na tozo za miamala ya simu ilioanza kutekelezwa mwezi Julai.