Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 28Article 560107

Uhalifu & Adhabu of Tuesday, 28 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Kamanda Kingai awanasa walioiba kwa Mwanajeshi

Kamanda Kingai awanasa walioiba kwa Mwanajeshi play videoKamanda Kingai awanasa walioiba kwa Mwanajeshi

Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, linawashikilia Watu watatu kwa tuhuma za kuvunja na kuiba vitu mbalimbali kwenye nyumba ya Askari wa JWTZ, Kikosi namba 501, Chris ambaye ni mkazi wa Goba.