Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 30Article 554494

Uhalifu & Adhabu of Monday, 30 August 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani - Video

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani - Video play videoKesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani - Video

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani – Video August 30, 2021 by Global Publishers

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameangua kilio hadharani katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakishuhudia Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe akirejeshwa rumande baada ya kusikiliza kesi aliyofungua dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.