Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 12Article 585127

Uhalifu & Adhabu of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kesi ya Mbowe yapigwa kalenda,Mkuu wa Upelelezi amalizia ushahidi wake -VIDEO

Kesi ya Mbowe yapigwa kalenda,Mkuu wa Upelelezi amalizia ushahidi wake play videoKesi ya Mbowe yapigwa kalenda,Mkuu wa Upelelezi amalizia ushahidi wake

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imeahirisha kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu mpaka Alhamisi Januari 13, 2022.