Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 27Article 540160

Habari Kuu of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: millardayo.com

"Kikwete ni mzima wa afya hana tatizo" Ridhiwan

"Kikwete ni mzima wa afya hana tatizo" Ridhiwan

Mtoto wa rais mstaafu Jakaya Kikwete, Ridhiwan Kikwete amesema baba yake ni mzima wa afya. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 27, 2021 kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Instagram,  akijibu madai yaliyoanza kusambaa mitandaoni tangu jana kuhusu kiongozi huyo mstaafu.

“Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa” Ridhiwan

UWANJA WA NDEGE CHATO, SERIKALI ITAKUBALI? WAANIKE MAZAO, AU WAPEWE JESHI?,

Join our Newsletter