Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 28Article 540382

Habari za Mikoani ya

Chanzo: ippmedia.com

Kunenge ataka tafiti mazao yenye tija Pwani

Kunenge ataka tafiti mazao yenye tija Pwani Kunenge ataka tafiti mazao yenye tija Pwani

Kunenge ameyasema hayo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kituo cha utafiti wa mazao kilichopo Tumbi Kibaha.

Kunenge amesema yapo mazao yanafanyiwa utafiti na Vituo vya utafiti katika kituo hicho ambayo ni pamoja na miwa, mihogo na viazi endapo watajiongeza zaidi kwa mazao yanayokubalika katika mkoa huo italeta msukumo wananchi wengi kujikita kwenye Kilimo.

Amesema Serikali itaendelea kuboresha sera ya kilimo na amewaaigiza pia kuwa wana majukumu ya utafiti kwa upande wa masoko ili wakulima wapate sehemu ya kuuzia mazao yao na kukua kiuchumi.

Join our Newsletter