Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 14Article 557476

Habari Kuu of Tuesday, 14 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Kwa mara ya kwanza Kikwete kafunguka utendaji kazi wa Rais Samia (video+)

Kwa mara ya kwanza Kikwete kafunguka utendaji kazi wa Rais Samia (video+) play videoKwa mara ya kwanza Kikwete kafunguka utendaji kazi wa Rais Samia (video+)

Rais Mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete amesema Nchi inakwenda vizuri na kero na changamoto za sekta mbalimbali zinatatuliwa ikiwemo afya ambapo Serikali imeendelea kutambua umuhimu wa kuongeza wigo wa huduma za dharura.

Dr. Kikwete amesema, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri na analeta matumaini kwa Watanzania kwa manufaa ya Nchi ya leo na kesho.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea kila kitu unaweza ukabonyeza play kufahamu alichozungumza Mstaafu Kikwete.