Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 31Article 554593

Uhalifu & Adhabu of Tuesday, 31 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Kwa mara ya kwanza, Mbowe na wenzake wafikishwa Mahakama ya Mafisadi (video+)

Kwa mara ya kwanza, Mbowe na wenzake wafikishwa Mahakama ya Mafisadi (video+) play videoKwa mara ya kwanza, Mbowe na wenzake wafikishwa Mahakama ya Mafisadi (video+)

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi katika kesi inayowakabili ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi.