Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 10Article 584548

Habari Kuu of Monday, 10 January 2022

Chanzo: Global TV Online

#LIVE: Rais Samia Anawaapisha Mawaziri Aliowateua

Rais Samia Awaapisha Mawaziri Aliowateua play videoRais Samia Awaapisha Mawaziri Aliowateua

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wateule leo Januari 10, 2022, Ikulu - Chamwino, Dodoma.