Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 23Article 559303

Habari Kuu of Thursday, 23 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

LIVE: Rais Samia akihutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA) New York

Rais Samia play videoRais Samia

Rais Samia Suluhu anahutubia kikao cha 76 cha Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (Unga) katika Jiji la New York, Marekani, Alhamisi Septemba 23.