Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 14Article 557389

Habari Kuu of Tuesday, 14 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

LIVE: Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa Sensa ya 2022

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania play videoSamia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 unaofanyoka katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 14 Septemba, 2021.