Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 23Article 573661

Habari Kuu of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

LIVE: Rais Samia akishiriki Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania play videoSamia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais Samia, akishiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kitaifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo tarehe 23 Novemba, 2021.