Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 25Article 573952

Habari Kuu of Thursday, 25 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

LIVE: Rais Samia akishiriki mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha nchini

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania play videoSamia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha nchini, ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) - Ukumbi wa Jakaya Kikwete leo tarehe 25 Novemba, 2021