Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 14Article 585703

Habari Kuu of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

LIVE: Rais Samia anapokea Hati za utambulisho wa mabalozi wateleule muda huu....

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania play videoSamia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wateule wa nchi nne hapa nchini Ikulu Chamwino Dodoma, leo 14 Januari, 2022.