Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 24Article 559444

Habari Kuu of Friday, 24 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

LIVE TWEETS Fuatilia hapa hukumu ya kesi ya MBOWE Live kutoka Mahakama Kuu

LIVE TWEETS Fuatilia hapa hukumu ya kesi ya MBOWE Live kutoka Mahakama Kuu LIVE TWEETS Fuatilia hapa hukumu ya kesi ya MBOWE Live kutoka Mahakama Kuu

Ni September 24, 2021, Nchini Tanzania ndani ya jiji la Dar es salaam katika Mahakama Kuu ya Makosa ya Rushwa na Ugaidi inaendelea kusikilizwa kesi ya Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na walinzi wake ambao kwa pamoja wanatuhumiwa kupanga matukio ya ugaidi, uhujumu uchumi na kudhuru viongozi.

Leo tena tunakuletea mtiririko wa maelezo ya kesi yanavyosomwa moja kwa moja kutokea chumba cha Mahakama Kuu.

Kupata mpangilio mzuri wa kesi yote tafadhali anza kusoma tweet ya chini kurudi juu, na ufanye kurefresh browser yako ili kupata taarifa mpya kila zinapoingia hapa.

CREDIT: Martin Maranja Twitter @IAMartin_

LIVE TWEETS KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO SEPTEMBER 24, 2021