Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 24Article 573829

Habari Kuu of Wednesday, 24 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

LIVE: Uzinduzi wa matokeo ya utafifti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/2021

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa play videoWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anazindua matokeo ya utafti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi mwaka 2020/2021 wenye lengo la kutambua viashiria vya soko la ajira nchini.

Utafti huo huisaidia Serikali kupata picha halisi ya nguvu kazi iliyopo nchini sambamba na kutambua nafasi ya taifa katika soko la kimataifa.

Aidha unasaidia kupata picha halisi ya hali ya ajira nchini, ukosefu wa ajira.