Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 21Article 543631

Habari za Mikoani of Monday, 21 June 2021

Chanzo: millardayo.com

LIVE: Wakuu wa Wilaya wapya DSM wanaapishwa na RC Makalla

LIVE: Wakuu wa Wilaya wapya DSM wanaapishwa na RC Makalla play videoLIVE: Wakuu wa Wilaya wapya DSM wanaapishwa na RC Makalla

Kutokea jijini Dar es Salaam Wakuu wa Wilaya walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 19, 2021 wanaapishwa katika ukumbi wa Anatoglo na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla.